Search This Blog

Tuesday, July 28, 2020

Katika ndoa yake na mama Mkapa, Mkapa alibaatika kupata watoto wawili- Profesa Kabudi

"Katika ndoa yake na Mama Anna, Hayati Benjamin William Mkapa alijaliwa kupata watoto wawili wa kiume Nicholaus na Steve na Wajukuu" - Profesa Kabudi

"Hayati Benjamin Mkapa alianza kazi Serikalini kama Afisa Tawala wa Wilaya ya Dodoma Aprili 1962, baada ya miezi minne alijiunga na masomo ya Shahada ya Uzamili nchini Marekani na aliporudi alifanya kazi katika Wizara ya Mambo ya Nje" -Profesa Kabudi

"Hayati Benjamin William Mkapa, alifariki kwa ugonjwa wa Moyo kusimama ghafla, ulioandamana na Malaria, Julai 23, 2020, majira ya saa 3:30 usiku akiwa na umri wa miaka 81" -Profesa Kabudi


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...