Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amekutana na wanachama wa chama hicho ambao ni wanafunzi wa Vyuo Vikuu jijini Dodoma ambapo amewataka kuwa wazalendo na kueneza sifa zilizofanywa na Rais Dk John Magufuli ndani ya kipindi kifupi na kuifanya Tanzania ifikie uchumi wa kati.
Katika mkutano huo Polepole amekabidhiwa kiasi cha Sh Milioni 5.5 na Mbunge wa Viti Maalum Vijana, Mariam Ditopile kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba za Makatibu wa UVCCM Wilaya zote Saba za Dodoma, pamoja na ujenzi wa Ofisi ya Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (Tahliso).
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment