Search This Blog
Saturday, July 11, 2020
Breaking News: DAS wa Handeni Afariki kwa Ajali, Mbunge Ajeruhiwa
WATU watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Mwalimu Boniface Maiga Jumaa baada ya gari mbili kugongana usiku wa kuamkia leo, Jumamosi, Julai 11, 2020, mkoani Dodoma.
Taarifa za awali zinadai kuwa ajali hiyo imetokea majira ya saa 7 usku maeneo ya Vikonji Dodoma baada ya gari ka Mbunge wa Handeni, Mhe. Omari Abdallah Kigoda kugongana na basi aina ya Tata.
Imeelezwa kuwa, gari la Mhe Kigoda lilikua na watu wanne akiwemo Mhe. Kigoda mwenyewe, DAS Maiga, dereva na msaidiz wa Mhe. Kigoda.
Ajali hiyo pia imesababisha majeruhi kadhaa akiwemo Mbunge wa Handeni, Mhe.Omary Kigoda. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Dodoma SACP Gilles Muroto amethibisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment