Search This Blog

Wednesday, July 22, 2020

Baba Levo arudi kugombea udiwani


Msanii Baba Levo leo amerudisha mpira kwa kipa baada ya kusema anarudi kugombea Udiwani baada ya Zitto Kabwe kutangaza nia ya Kugombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini.
Baba Levo aliwahi kutangaza nia ya kugombea Ubunge Kigoma Mjini lakini aliweka tahadhari kuwa ataendelea na nia yake hiyo endapo Zitto Kabwe hatogombea Jimbo hilo
Mpaka sasa Baba Levo amesama ameshachukua fomu ya kugombea udiwani na kuirudisha kimya kimya.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...