Search This Blog

Wednesday, July 1, 2020

Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Halima Mdee


Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na Uzima Josephat Gwajima ametangaza Nia ya kugombea ubunge wa Kawe kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi CCM. Askofu Gwajima leo pia amefika katika ofisi za CCM Kawe kupatiwa maelekezo yote ya msingi.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...