Search This Blog
Wednesday, July 15, 2020
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi,achukuwa fomu ya ubunge Njombe
Na Amiri Kilagalila
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA,Mjumbe wa kamati ya Ukawa na kampeni meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa 2015 Bwana,Juju Martin Danda.Amechukuwa fomu ya kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Njombe mjini
Danda amesema
“Siku ya leo nimeitumia kama siku maalum kwangu kwa ajili ya kuja kuchukuwa fomu ya uteuzi wa mbunge jimbo la Njombe mjini kwasababu kimsingi ni haki ya kila mwanachama wa chama cha mapinduzi” Bwana,Juju Martin Danda meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa 2015
Danda amekuwa miongoni mwa wagombea 26 wa chama hicho waliofika na kuchukuwa fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Njombe mjini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment