Search This Blog

Saturday, June 20, 2020

Waziri wa Afya wa Zimbabwe akamatwa na polisi kwa tuhuma za rushwa


Waziri wa Afya wa Zimbabwe Obadiah Moyo anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za rushwa, Moyo anatuhumiwa kuipa kampuni ya Drax International tenda ya USD Mil 42 kwa ajili ya kusambaza dawa na vifaa kinga vya corona wakati akijua kabisa kuwa kampuni hiyo inahusika na masuala ya ujenzi na sio afya.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...