Search This Blog
Saturday, June 20, 2020
MC Pilipili na mkewe wapata mtoto
Mshehereshaji maarufu nchini Tanzani ambaye anajulikana kwa MC Pilipili amebahatika kupata mtoto baada ya mkewe kujifungua salama.
Kupitia akaunti yake ya instagram MC Pilipili ameonyesha furaha yake na kuandika hivi;
Karibu DUNIANI mtoto wetu mpenzi @elphina__mathias @elphina__mathias @elphina__mathias @elphina__mathias .
.
Kwa sasa nimelemewa na FURAHA kupita kiasi ila nina shukrani KUBWA 3
.
.
1.Kwa Mungu mwenyezi asante sana kwa zawadi hii ya mtoto wengi wametamani hawajapata naomba kila anaesoma ujumbe huu na kuangalia picha hii na yeye hana mtoto na ana hamu ya mtoto Mungu ukampatie katika Jina la Yesu!
.
.
2.Kwa mķe wangu @qute_mena katika maisha yangu wewe umenifungulia ukurasa mwingine na kufanya niyaone mapenzi na maisha katika upande mwingine kabisa NITAZIDI KUKUPENDA
.
.
3.Kwa wapenzi wangu na mashabiki wangu mlionitakia kheri nawashukuru sana sana kila mmoja popote alipo ila na wote mliopo Swaswa dodoma na wilaya ya Bahi .
.
Tumkaribishe Duniani @elphina_mathias
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment