Search This Blog

Saturday, June 6, 2020

Waziri Mkuu wa Canada aungana na waandamanaji kupinga ubaguzi


Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau Amepiga goti na waandamanaji kama Ishara ya Kupinga Ubaguzi wa Rangi na Ukatili wa Polisi, Ujumbe wa waandamanaji hao ulikuwa 'Hakuna Haki, Hakuna Amani', Trudeau alizungukwa na walinzi wake na hakuongea kitu, Canada pia ina matatizo ya Raia na Polisi kama Marekani.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...