Search This Blog
Tuesday, June 9, 2020
Waziri Kamwelwe atengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi - KIA.
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mwasiliano Mhandisi Issack Kamwelwe ametengua Uteuzi wa Mhandisi Martin Kinyamagoa aliyekuwa akikaimu nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji katika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro-KIA.
Mhandisi Martin Kinyamagoa anadaiwa kushindwa kutekeleza Majukumu yake katika Kipindi hiki ambacho watalii wamekuwa wakiingia nchini kupitia Uwanja huo baada ya kuzuiliwa kwa safari za Anga katika nchi nyingi Duniani kutokana na Janga la Corona.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment