Search This Blog

Tuesday, June 9, 2020

Mbowe alilewa akateleza kwenye ngazi- Lijuakali

"Msigwa anasema mpaka saa tatu walikuwa kwa mwenyekiti baadae mwenyekiti akatoka, ukweli unafahamika walikwenda kunywa pombe, tukio la leo sisi tunajua mheshimiwa Mbowe kapanda ngazi kateleza kaanguka"-Peter Lijualikali, Mbunge wa Kilombero

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...