Search This Blog
Thursday, June 11, 2020
Watu 8 Wakumbwa na Gonjwa la Kuimba kwa Sauti Kubwa
WATU 8 wa familia moja wa umri kati miaka 12 hadi 30 katika Jimbo la Kiringanya nchini Kenya wamekumbwa na ugonjwa wa ajabu wa kuimba kwa sauti kubwa.
Mama wa familia hiyo, Susan Wangari amesema watoto wake wamekutwa na hali hiyo baada ya kula Magimbi yanayosadikiwa kuwa waliiba.
Watu hao waligundulika na jirani yao aliyewakuta nje ya nyumba yao wakinyeshewa na mvua na walipoulizwa na mama yao kuhusu kinachowasibu walikuwa wakorofi.
Kwa ukorofi wao, walimpiga mama yao na kumvunja mguu ambapo kwa sasa anapatiwa huduma Hospitali ya Polisi Kerugoya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment