Search This Blog

Friday, June 19, 2020

Steve Nyerere Atangaza nia Kuwania Ubunge Iringa Mjini


Mchekeshaji na muigizaji, Steve Nyerere ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM, ambalo kwa sasa lipo chini ya Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA anayegombea Urais.

Steve ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2020, ambapo amsema yeye ndiye atakuwa mbunge mfupi na machachari kuliko wote huku akibainisha vitisho anavyo vipata.

“Mimi ndiyo Mbunge wa Iringa labda itokee niseme sitaki, nakwenda kurudisha jimbo letu, nawashukuru wanaonitukana na kunitishia kuniua maana wanazidi kunipa nguvu” amesema Steve Nyerere…Bofya hapa kutazama

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...