Search This Blog

Friday, June 19, 2020

Lukamba: Kuacha Kazi Kwa Diamond Platnumz...Kuachwa na Mkewe..."Mimi Sio Mshamba wa Mapenzi, Nimeoa Nikiwa Mdogo"

Lukamba: Kuacha Kazi Kwa Diamond Platnumz...Kuachwa na Mkewe..."Mimi Sio Mshamba wa Mapenzi, Nimeoa Nikiwa Mdogo"

Zimekuwepo Clips zikitembea mtandaoni zikimuonesha Mpiga picha wa Diamond Platnumz akicheza karate kwa uwezo mkubwa...Je kaacha kazi kwa Mond?

Msikilize hapa kaongea ukweli wote:

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...