KUTOKANA na mchezaji wa Yanga, David Molinga kudai kuwa ameachwa kutokana na kutowekwa kwenye orodha ya wachezaji walioelekea Shinyanga kuvaana na Mwadui FC, uongozi wa Simba umewajibu wapinzani wao Yanga kimtindo.
Haji Manara kupitia ukurasa wake ameandika namna hii:-"Molinga kawakosea nini? Why kila mara wanamuonea yeye ?
"Unawezaje kumtendea hivyo top score wako wa ligi?Wachezaji wa bongo mnajifunza kitu. Huwa wanasajili kwa mbwembwe baadae hata safari wanawaacha."
Molinga ametupia mabao nane kati ya 31 yaliyofungwa na Yanga kwenye ligi msimu huu. Yanga itamenyana na Mwadui FC, Juni 13 Uwanja wa Kambarange.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment