Search This Blog

Wednesday, June 10, 2020

Serikali yazindua muongozo wa shughuli za utalii


Wizara ya Maliasili na Utalii, imezindua muongozo na uendeshaji bora shughuli za Utalii nchini kipindi hiki cha ugonjwa wa Covid-19, huku ikiahidi kuwepo maabara maalum kupima virusi vinavyosababisha ugonjwa wa corona kwa watalii wanaokuja nchini na wadau wa utalii.

Akizindua muongozo huo jijini Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangwalla amesema lengo makhsusi la muongozo huo ni kuwahakikishia usalama wa afya Watalii wanaofika Nchini na Watoa huduma za utalii.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...