Search This Blog
Monday, June 8, 2020
Molinga, Sibomana, Makame Kukatwa Mishahara Yanga
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Klabu ya Yanga, amesema kuwa Kocha Mkuu, Luc Eymael aliwaambia wachezaji kwamba atakayeongezeka uzito atakatwa mshahara wake ikiwa ni sehemu ya adhabu.
Akizungumza na Championi Jumatatu, Abdul alisema kuwa Eymael aliwapa programu maalumu za kufanya kwa ajili ya kulinda vipaji vyao wakati wa mapumziko yaliyosababishwa na janga la Corona na kutoa onyo kwa wachezaji wote.
“Kocha alisema kuwa mchezaji ambaye ataongezeka uzito, huyo lazima atakatwa mshahara, ninaamini atakapopewa ripoti kazi ya kwanza itakuwa ni kutazama wale ambao wameshindwa kutimiza vigezo vyake,” alisema Abdul.
Inaelezwa kuwa walioongezeka uzito ambao panga la mshahara linawasubiri ni pamoja na David Molinga, Patrick Sibomana na Abdulaziz Makame.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment