Search This Blog
Monday, June 15, 2020
Mama na Watoto wafukuzwa kwenye nyumba aliojenga na Mumewe
Mwanamke Rahel mkazi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha amedai kufukuzwa na shemeji yake kwenye nyumba aliyoijenga yeye na Mumewe baada ya Mume kupata tatizo la akili baada ya kuondoka siku kadhaa akiwa na shemeji yake.
Rahel amedai kwamba alianza kuishi katika eneo hilo na Mumewe Efatha Palanjo mwaka 1990 na baadaye waliongeza za wapangaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment