Search This Blog
Wednesday, June 10, 2020
Eng. Isaack Kamwele atengua uteuzi wa aliyekuwa kaimu mkurugenzi wa KIA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng.Isack Kamwelwe ametengua uteuzi wa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa KIA, Eng.Martin Kinyamagosha kwa kutotimiza majukumu yake ya kazi, Martin ataendelea na majukumu yake ya awali ya Ukurugenzi Ufundi na Uendeshaji KIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment