Search This Blog

Thursday, May 7, 2020

Vifo kutokana na maporomoko ya ardhi na mafuriko vyaongezeka Kenya


Watu 30 zaidi wamepoteza maisha katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Kenya.

Ikiwa ni wiki tatu ya mvua kubwa nchini humo,idadi ya vifo imefikia 194 na watu zaidi ya elfu 100 wameyahama makazi yao.

Utabiri wa  hali ya hewa umetangaza kuwa mvua kubwa zitaendelea hadi mwisho wa mwezi Mei.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...