Mganga mkuu wa Serikali Profesa Abel Makubi amesikitishwa na uvumi wa taarifa za kuwepo kwa watu 92 ambao wamefariki kutokana na virusi vya corona kisha kuzikwa nyakati za usiku katika makaburi ya kola manispaa ya Morogoro, ambapo amesema kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

No comments:
Post a Comment