Search This Blog

Thursday, May 7, 2020

Uganda: Idadi ya maaambukizi ya corona yaongezeka na kufikia 100



Wizara ya Afya Uganda imesema wagonjwa wengine wa corona wameongezeka nchini humo na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 100, waliopona wamesalia Watu 55 na hakuna kifo cha corona. “tumefanikiwa kupima Watu 3,071 ndani ya saa 24, kasi ya kiwango chetu cha upimaji inaongezeka”

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...