Search This Blog

Monday, May 11, 2020

UEFA wako tayari kuwaongezea muda EPL wakuleta mpango kazi wao mezani



Chama soka ulaya (UEFA) kimeripotiwa kuwa kitaongeza muda mbele zaidi endapo Ligi Kuu England hawatokuwa wamefikia muafaka wa namna ya kurejesha Ligi hadi ifikiapo May 25 2020.

Rais wa UEFA Aleksander Ceferin amethibitisha hilo baada ya mwezi uliopita kutoa maagizo hayo ili kuhakikisha kuwa club na viongozi wa EPL wanakuja na mpango wa namna ya kumalizia msimu 2019/20.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...