Search This Blog
Friday, May 1, 2020
Tanzania yakanusha vifo 50 kwa siku
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Dkt.Hassan Abbasi ameikosoa NTV Kenya na kusema wamechapisha taarifa za uongo baada ya kudai kuwa kwa siku ya jana April 30,2020 pekee wamefariki Watu 50 katika Mkoa DSM kutokana na corona.
“Huu ni uandishi au "uhandisi" wa habari?, inasikitisha kuona jinsi NTV Kenya inavyokuwa wakala wa uongo na uzushi, nawakumbusha wazandiki hawa kuenzi misingi ya taaluma badala ya umaamuma"-Dkt. Abbasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment