EP hiyo iliyosheheni ngoma tano za moto, imefanyiwa mabadiliko katika moja ya ngoma ambayo ni ngoma namba 4 iitwayo 'Njiwa' na kuingizwa ngoma nyingine iitwayo 'Wandoto' kama mbadala wake.
Aidha, hadi sasa "Steps" EP iliyotoka chini ya @kondegang inaendelea kufanya vizuri kupitia platform mbalimbali hususani Boomplay.

No comments:
Post a Comment