Search This Blog

Wednesday, May 13, 2020

Mganga Hospitali ya Wilaya ya Kongwa ahukumiwa kwa kuuza damu


Mahakama ya Wilaya ya Kongwa imemhukumu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya shilingi laki tano, Tabibu wa Hospitali ya Wilaya ya Kongwa, Martin Ndahani Daniel, baada ya kupatikana na hatia ya kuomba rushwa ili ampe mgonjwa damu.

Akitoa taarifa jijini Dodoma kuhusiana na hukumu hiyo, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, Bw. Sosthenes Kibwengo, amesema Daniel alimuomba mgonjwa rushwa ya shilingi 80,000 ili amuwekee damu.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...