Search This Blog
Tuesday, May 26, 2020
Mchezaji Mbwana Samatta Afunga Goli Bora la Mwaka
Mshambuliaji wa club ya Aston Villa ya England Mbwana Samatta goli lake aliloifunga Liverpool kwenye michuano ya UEFA Champions League November 5 2019 dhidi ya Liverpool limeandika historia.
Samatta akiichezea KRC Genk ya Ubelgiji wakati huo goli lake alilowafunga Liverpool ndio limetajwa na ukurasa rasmi wa Genk kama ndio goli bora la mwaka la club hiyo.
Katika mchezo huo uliomalizika kwa KRC Genk kupoteza kwa kufungwa magoli 2-1, Samatta alifunga goli maridhawa la kichwa dakika ya 41, hata hivyo hadi michuano ya UEFA Champions League hatua ya makundi.
Hata hivyo Samatta aliondoka KRC Genk mwezi January 2020 na kujiunga na Aston Villa ya England kwa kiasi kinachotajwa kufikia pound milioni 10 akisaini mkataba wa miaka minne na nusu kusalia Villa Park.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment