Search This Blog

Thursday, May 21, 2020

Madereva 40 wa malori wakutwa na COVID-19



Serikali ya Kenya imesema madereva 40 wa malori wamekutwa na maambukizi ya COVID-19 katika mipaka yake, madereva 39 ni Watanzania na mmoja ni raia wa Burundi, ambapo wanatarajiwa kurudishwa katika nchi zao.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...