Ni Kwa Muda Sasa Kumekuwa Na Story Nyingi Zikidai Kuwa Huwenda Ndoa Ya Queen Darleen Na Mumewe Isibah tayari Imeshajibu Kwa Maana Ya Kwamba Huwenda Queen Darleen Atakuwa Ana Ujauzito Tayar
.
Mara Nyingi Kila Akiuliza Darleen Amekuwa Akilikwepa Swala Hili Na Kukimbia Kutoa Majibu Sahihi Lakini Kwa Upande Wa Mwali Kidawa Esma Platnumz Yeye Amekuwa Akisema mara Zote Kuwa Darleen Ana Mimba
.
Leo Esma Amezidi Kupigia Msumari Swala Hilo Baada Ya Ku Comment Kwenye Video Ya Darleen Na Mume Kwa Kuandika
''ALAFU HII MIMBA INAANZA KUKUKONDESHA UJUE UMEPUNGUA KIDOGO''
Hii Ikizidi Kutujuza Kuwa Labda Ni Kweli Kuwa Darleen Atakuwa Na Mimba, Lakini Mavazi Ya Sasa Ya Darleen Pia Yanazidi Kutuleta Kwenye Majibu, Lakini Mbona Hata Akijirekodi Anajipiga Close Up Shots Tu? Haya Ngoja Tuone
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment