Search This Blog

Monday, May 4, 2020

Dereva na Konda Wake Waliokuwa Wanaendesha Gari la Abiria Kwa Mwendo wa Hatari na Kuyumbisha Wakamatwa

Habari Picha ; dereva na tingo wa basi wamekamatwa na jeshi la polisi tayari. Sheria itachukua mkondo wake. Hapa wakiwa wamepiga picha ya pamoja wakisubiri futari kituoni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ ..Hawa ndio walikuwa wanaendesha Costa la abiria kwa kuyumbisha yumbisha

Jana Video hiyo ya basi la abiria likiendeshwa kwa mwendo wa hatari ilisambaa katika mitandao ya kijamiii....

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...