Search This Blog

Monday, May 4, 2020

Breaking News:Mwanasiasa na Mwanasheria Mkongwe Dr Masumbuko Lamwai Afariki Dunia



‪Dkt. Lamwai amefariki dunia usiku wa kuamkia leo‬ Mei 05, 2020

‪Atakumbukwa kwa kazi yake kubwa katika siasa za Tanzania (NCCR-Mageuzi kisha kuhamia CCM)‬

‪Alikuwa Mhadhiri mwandamizi (Senior Lecture) katika Chuo Kikuu cha Tumaini‬

Akiwa NCCR-Mageuzi, alikuwa na wanasiasa wengine wakongwe kama Mabere Marando, Marehemu Dkt. Sengondo Mvungi(RIP), Augustine Mrema, Makongoro Nyerere, Prince Bagenda, Ndimara Tegambwage na Stephen Wassira
2h

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...