Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo ametoa ujumbe wa Ramadhani kupitia ukurasa wake wa Twitter akiwatakia Ramadhani njema waislamu wote.
Katika ujumbe wake huo aliotoa , Mike Pompeo amekumbusha waislamu kutenda wema kama inavyoagizwa na mafunzo ya uislamu.
Mike Pompeo amesema kuwa anawatikia waislamu wote Ramadhani njema na kuwaombea kuendelea kutenda wema kama unavyofundisha uislamu huku kukuheshimishwa hatua zilizochukuliwa katika juhudi za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.

No comments:
Post a Comment