Search This Blog
Sunday, April 26, 2020
Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kaunza kazi leo baada ya kupona corona
Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson atarajiwa kuanza kazi rasmi Jumatatu ya leo Aprili 27 mwaka 2020 baada ya kupana virusi vya corona.
Ni wiki mbili sasa tangu waziri mkuu huyo wa Uingereza kupona virusi vya corona.
Ofisi ya waziri mkuu wa Uingereza imefahimisha Jumapili kuwa waziri Boris Johnson anaanza kazi rasmi Jumatatu Aprili 27 baada ya kupona virusi vya corona.
Waziri mkuu wa Uingereza alikuwa miongoni mwa watu walioathirika na virusi vya corona nchini Uingereza.
Taarifa hiyo imetolewa na shirika la habari la AP.
Baada ya kuondoka hospitali waziri mkuu wa Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu katika chumba maalumu cha matibabu maalumu kwa muda wa siku 3 aliruhusiwa kuondoka hospitali Aprili 12.
Watu 20319 wamekwishafariki kutokana na virusi vya corona nchini Uingereza tangu kaunza kwa janga hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment