Search This Blog

Sunday, April 26, 2020

Watanzania wengine wanne wakutwa na virusi vya corona Uganda


Wizara ya Afya Uganda imesema Watanzania wengine wanne (Madereva wa Malori) wamebainika kuwa na virusi vya corona nchini humo na kufanya visa vya corona Uganda kufikia 79, Madereva hao walioingia Uganda kupitia mpaka wa Mutukula ni kati ya ya Watu 1989 waliopimwa jana Uganda.

“Tumewapima Watu 1989 ambapo Madereva wa Malori ni 1578 na kati yao Watanzania wanne wamebainika kuwa na corona, wengine 411 tuliowapima sio Madereva na wote ni wazima”

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...