Search This Blog

Wednesday, April 22, 2020

Watanzania wawili wakutwa na corona Uganda

Wizara ya Afya Uganda imesema wagonjwa wengine wapya wawili wa corona wameongezeka na wote ni Madereva wa Malori kutoka Tanzania na kufanya idadi ya visa kufikia 63 Uganda,

 Raia wa Uganda wameanza kuishinikiza Serikali yao kutoruhusu Malori kuingia nchini humo wakidai Madereva wanaongeza idadi ya visa vipya.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...