Search This Blog

Saturday, April 11, 2020

VIDEO: Kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona ''chapeni kazi, hatutawafungia watu majumbani''

Rais Magufuli amesema mpaka sasa idadi ya Watanzania waliothibitika kuwa na virusi vya Corona ni takribani 29, Watanzania 5 waliopatwa na maambukizi wamepona, Watanzania 3 wamefariki dunia na kwa takribani asilimia 90 ya waliopatwa na virusi hivyo wanaendelea vizuri.

Amebainisha kuwa kutokana na madhara ya ugonjwa huo duniani, upo uwezekano wa kutokea upungufu wa chakula, hivyo ametoa wito kwa Watanzania kuzalisha chakula cha kutosha na pia amewataka Watanzania kuendelea kuchapa kazi kila mahali walipo huku wakichukua tahadhari za kutoambukizwa kama wanavyoelekezwa na wataalamu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...