Search This Blog

Saturday, April 11, 2020

Floyd Mayweather Atangaza Kuwa Mkufunzi wa Masumbwi

 

Gwiji wa Masumbwi, Floyd Mayweather, ametangaza kuwa, anataka kuwa mkufunzi bora zaidi wa masumbwi duniani, baada ya ku-post video akimfundisha kwa mara ya kwanza mpwa wake mwenye miaka 14.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...