Bomu lenye uzito wa kilo 250 lagundliwa katika hospitlai moja nchini Ujerumani, bomu hilo kulinga na taarifa iliotolewa kabla ya uchunguzi, bomu hilo ni miongoni mwa silaha ambazo zilitumiwa katika vta vya pili vya dunia.
Bomu hilo limegunduliwa wakati wakiendelea ujenzi karibu na chuo kikuu cha hospitali hiyo mjini Bonn Rhenania-of-North Wesphalia.
Miongoni mwa wagonjwa wamo ambao waliogunduliwa wakiwa na virusi vya corona.

No comments:
Post a Comment