Search This Blog

Tuesday, April 14, 2020

Turkish Airlines yasitisha safari zake za kimataifa hadi 20 Mei

Shirika la ndege la Uturuki la Turkish Airlines (THY) limetangaza kwamba limesimamisha ndege zote za kimataifa hadi Mei 20, 2020.

Katika taarifa hiyo,shirika hilo limetangaza kuwa hatua hiyo imechukuliwa kutokana na mlipuko wa Covid-19 ulimwenguni na kwamba ni moja ya njia za kusaidia kupunguza maambukizi ya virusi hivyo.Ndege zote zimesimama mpaka tarehe 20 Mei 2020.

Ndege za kitaifa zilisitishwa toka tarehe 3 mwezi Aprili mpaka hapo tarehe 20 mwezi Aprili.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...