Klabu ya Tottenham Hotspurs imeonesha ilivyobadili sehemu ya uwanja wake na kuwa sehemu ya kutolea huduma kwa watu kupima maambukizi ya virusi vya corona.
Tottenham wametengeneza sehemu ya kutolea huduma hiyo underground ambako kunatumika kama maegesho ya magari.
Sehemu hiyo hiyo chini ya taasisi ya hutoaji wa huduma ya afya England (NHS), watakuwa na uwezo wa kupima watu 70 kwa siku na kutakuwa na manesi 10, muda wa kutoa huduma hiyo itakuwa saa nne asubuhi hadi saa nane mchana Jumatatu hadi Ijumaa kwa saa za England.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...





No comments:
Post a Comment