Search This Blog

Tuesday, April 21, 2020

Rais Erdoğan na Macron wajadili Covid-19

Rais wa Uturuki na rais wa Ufaransa wazungumza kuhusu virusi vya corona.

Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu  virusi vya corona na ushirikiano katika ukanda wa Mashariki ya Kati.

Rais wa Uturuki na rais Macron wa Ufaransa wamezungumza kuhusu hali iliopo  katika ukanda wa Mashariki na Kati na mapambano dhidi ya virusi vya corona.

Taarifa hiyo imetolewa Jumanne  na ofisi ya msemaji wa rais mjini Ankara.

Katika taarifa hiyo , rais Erdoğan amezungumza na rais Emmanuel Macron  kuhusu mapambano dhidi ya virusi vya corona .

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...