Search This Blog

Wednesday, April 29, 2020

Majay Afunguka Kumnyakua Jonijoo Wasafi FM, 'Sina Tatizo na Diamond na Sijamchukua Kulipiza Kisasi'

Majay afunguka kumnyakua Jonijoo Wasafi FM, 'Sina tatizo na Diamond na sijamchukua kulipiza kisasi' , Jonijo ni Mtangazaji ambae nilikuwa nampenda zamani hata kabla akiwa Times FM tulishaanza mawasiliano ya Mchakato aje EFM lakini nilisafiri Kidogo, niliporudi nikakuta ameshachukuliwa na Wasafi FM...


Wakati alipo kuwa TIMES niliongea hata na boss wake kuwa namtaka , boss wake ni rafiki yangu akasema we ongea nae tu akikubali freshi.....

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...