Search This Blog
Wednesday, April 22, 2020
Lukaku: Corona ilikuwepo Italia tangu Disemba
Nyota wa kabumbu Romelu Lukaku amesema kuwa virusi vya corona nchini Italia vilikuepo Disemba.
Romelu Lukaku, nyota wa kabumbu wa timu ya Inter amesema kuwa ana amini kuwa virusi vya corona vilikuepo nchini Italia tangu mwezi Disemba.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 amesema kuwa karibu wacheza wote wa timu yake walikuwa wagonjwa na wenye uchovu mnamo Disemba.
Disemba wachezaji 23 miongoni mwa wachezaji 25 walikuwa wagonjwa, Lukaku ameendelea akisema kuwa homa ailiokuwa nayo haikuwa ya kawaida kwa kuwa alikuwa bado hajaugua kiasi hicho.
Nchini Italia, mtu wa kwanza kugunduliwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona alikuwa mtalii kutoka nchini Januari 31 na mtu wa kwanza mwenye asili ya İtalia aligunduliwa Februari 21.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment