Search This Blog

Sunday, April 19, 2020

Hatimaye Rose Ndauka afunga ndoa

Msanii wa Filamu Bongo, mwanadada RoseNdauka, ama Mama Naveen amefunga ndoa Jumamosi hii na mchumba wake anaetajwa kuwa wa muda mrefu ambaye sasa amekuwa mumewe rasmi.

Rose ambaye jina lake kwa sasa ni Naureen, pamoja na mumewe wamefunga ndoa hiyo ya kiislamu na kuhudhuriwa na watu wake wa karibu pasipo kuwa na idadi kubwa ya watu kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona ambapo kwa sasa hairuhusiwi mikusanyiko ya watu.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...