Kundi la nchi 20 tajiri na zinazoinukia kiuchumi duniani - G20 zimezindua leo mpango wa kimataifa wa kuharakisha upatikanaji wa vifaa vya kiafya vinavyohitajika kupambana na virusi vya corona.
Waziri wa fedha wa Saudi Arabia, ambayo ni mwenyekiti wa sasa wa G20, Mohammed al-Jadaan amesema kundi hilo bado linajitahidi kuziba pengo la ufadhili wa takribani dola bilioni 8 wa kupambana na janga hilo.
Ameongeza kuwa jamii ya kimataifa bado inakabiliwa na hali ya kutokuwa na uhakika kuhusu ukubwa na muda ambao janga hili la kiafya litatatuliwa.
Saudi Arabia mapema mwezi juu iliahidi dola milioni 500 za kuunga mkono juhudi za kimataifa za kupambana na janga la virisi vya corona.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment