Rais wa Tanzania, John Magufuli akinywa kahawa katika moja ya vijiwe vya kahawa mjini Chato Mkoa wa Geita. Kiongozi mkuu huyo wa nchi amewasili wilayani Chato Machi 28, 2020 akitokea jijini Dodoma.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

No comments:
Post a Comment