Search This Blog
Thursday, March 26, 2020
Uturuki yalaani shambulizi la kigaidi nchini Chad
Uturuki yakemea vikali shambulizi la kigaidi lililoendeshwa na wanamgambo wa Boko Haramu nchini Chad.
Wanamgambo wa kundi la Boko Haramu wameendesha shambulizi la kigaidi na kusababisha vifo vya 92 na kuwajeruhi waengine 47 nchini Chad.
Miongoni watu waliouawa na kujeruhiwa wamo pia wanajeshi.
Uturuki kupitia wizara yake ya mambo ya nje imelaani vikali shambulizi hilo.
Katika tangazo lake , wizara ya mambo ya nje ya Uturuki imekemea shambulizi hilo la kigaidi liliowalenga wanajeshi katika kambi yao karibu na ziwa Chadi Machi 23 mwaka 2020.
Salamu za rambi rambi zimetolewa kwa familia za wahanga na taifa zima huku majeruhi wakitakiwa shifa na kurejea katika majukumu yao ya kulinda taifa watakapopona.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment