Search This Blog

Monday, March 23, 2020

TANZIA: Makongoro Mahanga afariki dunia

Aliewahi kuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, kabla ya kuhama CCM na kwenda CHADEMA ambako alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Ilala,Dk.Makongoro Mahanga amefariki Dunia, CHADEMA wamesema msiba umetokea leo asubuhi Muhimbili ambako alilazwa tangu juzi kwa matibabu.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...