Search This Blog
Wednesday, March 18, 2020
Rais wa Uturuki ana matumaini katika mapambano dhidi ya virusi vya corona
Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa anayo matumaini katika mapambano dhidi ya virusi vya corona.
Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa anayo matumaini katika juhudi za kupambana dhidi ya virusi vya corona.
Rais wa Uturuki amefahamisha kuwa serikali inayo mikakati na hatuo katika sekta ya afya ambayo itapelekea kudhibiti maambukizi ya virusi vya afya.
Rais Erdoğan ameonesha matumaini ya kudhibiti virusi vya corona wiki chache zijazo iwapo hatua zilizochukuliwa zitaheshimishwa.
Hayo rais wa Uturuki ameyazungumza katika mkutano uliofanyika mjini Ankara.
Katika mkutano huo rais Erdoğan ameendelea kufahamisha kuwa idara husika inafanya kila liwezekanalo kuhakikisha kutokomeza virusi vya corona.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment