Search This Blog

Thursday, March 19, 2020

Mtangazaji HK Amlilia Marehemu Mengine kisa Corona "Baba Umeondoka na Roho yako Waliobaki Wanashindwa Hata Kutununulia Maski"


Mtangazaji na Mshereheshaji wa Maisha Club HK amefunguka haya Kuhusu Marehemu Mzee Mengi:

"Baba umeondoka na roho yako. Waliobaki wanashindwa hata kutununulia maski Masikini. Ndio kwanza wanatulingishia na Mask zao za bei. Mungu akuweke mahala pema peponi. AMEN #coronaNoma" HK

Ikumbukwe Mzee mengi kabla ya uhai wake alikuwa mstari wa mbele katika kusaidia watu hasa katika majanga mbali mbali, pia alikuwa mstari wa mbele kuwakumbuka walemavu ambapo kila mwaka alikuwa anawafanyie sherehe ya kipekee kuburudika nao

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...